Jumapili, 10 Mei 2015

ASKOFU MCHUNGAJI MKUYU AKIWAFANYIA MAOMBI WATUMISHI WA MUNGU WENYE SHIDA YA KUTOSHUHUDIA WATU HABARI ZA YESU. IBADA YA JUMA PILI TAREHE 10.5.2015








Askofu mchungaji mkuyu akisaidiana na watumishi wa Mungu katika kuwafanyia maombi watumishi ambao bado hawajaweza kuwahubiria watu habari za Kristo Yesu ili wajazwe Roho na kuweza kuwa wajasiri katika kuihubiri Injili ya Kristo Yesu.

0 maoni:

Chapisha Maoni