Ijumaa, 22 Mei 2015

MAMA MCHUNGAJI MWOSI AKIWA MADHABAHUNI MWA BWANA AKIWAFANYIA MAOMBI MAALUMU WAHITAJI. JUMA PILI YA TAREHE 17.5.2015


Mama mchungaji mwosi akiwa madhabahuni mwa Bwana huku  akiwafanyia maombi maalumu watumishi wa Bwana wenye mahitaji mbali mbali mbele za ikiwemo wagongwa pamoja na wanafunzi wanaoenda kufanya mitihani yao bwana akapate kukutana na na kuwafahurisha.    

0 maoni:

Chapisha Maoni