Ijumaa, 22 Mei 2015

DR. CHUNGAJI OLEE AKIFUNDISHA NA KUHUBIRI NENO LA MUNGU. KATIKA KANISA LA CAPITAL CHRISTIAN CENTER. JUMA PILI YA TAREHE.17.5.2015



DR. Mchungaji olee akifundisha na kuhubiri Maneno Ya Bwana katika ibada ya tatu katika kanisa la capital christian center.miyuji dodoma. pia katika picha ya chini kabisa tunamuona mama mchugaji olee akifanya maombi kwa wahitaji wa mahitaji mbali mbali katika  siku iyo ya juma pili ya Tarehe 17.5.2015

0 maoni:

Chapisha Maoni