Jumatatu, 4 Mei 2015

WAUMINI WA CAPITAL CHRISTIAN CENTER WAKIMUIMBIA BWANA PAMOJA NA KWAYA YA WANAUME.

Watumishi wa Mungu wakimuimbia Bwana Yesu Na kumshangilia kwa furaha na shangwe na vigelegele na kuishangilia Kwaya  Ya Wanaume Kwa kuimba vizuri na kufanya vizuri katika uimbaji.

0 maoni:

Chapisha Maoni