1.Mchungaji wa Zamu Wa Wiki Ijayo Ni : Raphael Lyela.
2.Juma pili Ya Mwisho Wa Mwezi huu Kutakuwa na Tamasha la Kusifu Na Kuabudu.
.... Wale wote ambao wanaitaji kuimba katika Tamasha Hilo inabidi walete taarifa zao mapema ili wawekwe kwenye Ratiba.
3. Tunapenda kuwa tangazia watu wote kwamba fomu za kujiunga na shule yetu ya chekechea kwa mwaka 2016 iliyoko hapa kanisani capital christian centre,
Fomu zinapatikana kwa mwalimu mkuu mwalimu Loveness hapo hapo kanisani katika jengo la MAVUNO HOUSE.
4. Wajumbe wote wa Tazama na Tunza mnaombwa kesho kuonana saa nne kamili asubuhi kanisani katika ofisi
ya Tazama na Tunza iliyoko hapo kanisani MAVUNO HOUSE.
5.Ijumaa kutakuwa na mkesha kuanzia saa mbili (2) kamili asubuhi mpaka saa sita (6) usiku
Wote Mnakaribishwa sana bila kukosa.
Ujenzi wa Hospitali Ya Kanisa Na TAZAMA NA TUNZA FOUNDATION. Ujenzi huo tunamshukuru Mungu Mpaka sasa unaendelea vizuri sana , Hakika Bwana Mungu Ameonekana na anazidi kuonekana katika ujenzi huo wa hospitali. (Wafilipi 2:13)
0 maoni:
Chapisha Maoni