Jumatano, 3 Septemba 2014

KIKUNDI CHA KUSIFU NA KUABUDU CHA C.C.C WAKIWASHA MOTO KATIKA TAMASHA LA SIFA NA KUABUDU.






















































Watakatifu Watumishi  Wa Kristo Yesu Wakicheza Na Kuruka ruka Madhabahuni Pa bwana Patakatifu Wakimsifu Mungu Katika Tamasha La Kusifu Na Kuabudu. Na Kumuimbia Kristo Yesu Kwa Moyo Mmoja Na wakuchangamka Kwa Ukuu Wa Bwana Aliowatendea Katika Maisha Yao Na Uumbaji Wa bwana. Hapa Duniani. Zaburi 96;1

0 maoni:

Chapisha Maoni