Jumanne, 2 Septemba 2014

MOJA KATI YA WACHUNGAJI WA KIKUNDI CHA MAOMBI CHA AFRIKA MASHARIKI AKIFANYA MAOMBI KWA KANISA LA C.C.C





Moja Kati Ya Wachungaji Waliokuja Katika Kanisa La Capital christian Center Dodoma Akifanya Maombi Kwa Kanisa Kuhusiana Na Habari Ya Mzigo Na Kiu Ya Maombi Kwa Kanisa La C.C.C,, pia Na Kukamilika kwa ujenzi Wa Mlima Wa Maombi Kanisani Hapo. Pia Akisaidiana na Wachungaji Wenzake Katika Maombi Hayo..( Zaburi 77;1-2 )

0 maoni:

Chapisha Maoni