Wanakwaya wa ICC wakimuabudu Bwana katika ibada ya nne iliofanyika katika kanisa la capital chrstian center miyuji Dodoma pia wakiungana pamoja na wenyeji wao wa kanisa hilo kumuabudu Mungu pamoja. Hakika Bwana alionekana akifanya kazi na kushuka siku iyo.
0 maoni:
Chapisha Maoni