Ijumaa, 22 Mei 2015

MAMA MCHUNGAJI OLEE AKIFANYA MAOMBI KWA WATUMISHI WA MUNGU WENYE SHIDA MBALI MBALI. JUMA PILI YA TAREHE 17.5.2015





Mama Mchungaji olee wa kanisa la ICC akifanya maombi maalum kwa watumishi wa Mungu wenye mahitaji na matatizo mbali mbali. hakika Bwana alionekana siku iyo pia watu wengi sana walifunguliwa kwa Jina la Yesu.

0 maoni:

Chapisha Maoni