Ijumaa, 22 Mei 2015

DR. MCHUNGAJI OLEE PAMOJA NA MKE WAKE WAKIWA MADHABAHUNI PA MUNGU. KATIKA JUMA PILI YA TAREHE 17.5.2015


Dr Mchungaji olee akiwa na mke wake madhabahuni pa Bwana pia pichani hapo juu tunaona mke wa mchungaji olee akisalimia kanisa la Bwana , pia na picha ya chini tunaona mke wa mchungaji olee akifanya maombi ya kuombea Neno la Mungu ambalo lilikuwa linasomwa na Mchungaji olee  siku hiyo ya juma pili.

0 maoni:

Chapisha Maoni