This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Jumapili, 24 Mei 2015

PROTHET T.B JOSHUA

                                                          T.B JOSHUA PRAYERS

ASKOFU MCHUNGAJI MKUYU AKIHUBIRI NA KUFUNDISHA MANENO YA MUNGU KATIKA IBADA YA TATU.

Askofu Mchungaji Mkuyu akifundisha na kuhubiri maneno ya Mungu katika ibada ya tatu.


                               UJUMBE: KUJAZWA ROHO MTAKATIFU.


                           MAANDIKO: MATENDO YA MITUME 2:1-4

Nayo inasema:


1. Hata ilipotimia siku ya pentekoste walikuwako wote mahali pamoja.

2. Kukaja ghafula toka mbinguni uvumi wa upepo wa nguvu ukienda kasi,ukaijaza nyumba yote waliokuwa wameketi.

3. Kukawatokea ndimi zilizogawanyika,kama ndimi za moto uliowakalia kila mmoja wao.

4. Wote wakajazwa Roho mtakatifu , wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.






        Watumishi wa Mungu wa kizazi hiki cha leo yatupasa tujazwe roho mtakatifu na kuweza kunena kwa lugha mpya, maana kuna faida kubwa sana kama mkristo akiwa anaweza kunena kwa lugha mpya, maana hata wakati unawasiliana na Mungu na kumshirikisha maombi yako, ikifika wakati umejazwa Roho mtakatifu na kuanza kunena kwa lugha mpya hapo hata shetani mwenyewe hawezi kuisikia iyo lugha ya Roho mtakatifu, kwa hiyo kuna faida kubwa sana kujazwa Roho mtakatifu na kuanza kunena kwa lugha mpya.

MCHUNGAJI MAMA MWOSI AKIWAWEKA NA KUWAOMBEA WATUMISHI WA MUNGU MIKONONI MWA MUNGU KATIKA SAFARI WATAKAZOANZA WIKI YA KESHO.

Mchungaji mama mwosi akiwaweka na kuwakabidhi watumishi wa Mungu akiwemo Mchungaji kiongozi pamoja na Mzee wa kanisa katika safari zao za kwenda mikoani, Mungu akapate kuwalinda na kuwarudisha salama wakiwa wazima kabisa katika jina la Yesu Kristo wa Nazareti alie hai.  (ZABURI 70:1)

ASKOFU MCHUNGAJI MKUYU AKIAGA KANISA KUELEKEA MKOANI TABORA.

Askofu mchungaji mkuyu akiaga kanisa kuelekea mkoani Tabora kwa ajili ya kufungisha ndoa ya Askofu mwezake ambaye anatarajia kuoa siku ya Juma mosi pale mkoani Tabora.

ASKOFU MCHUNGAJI MKUYU AKIWAONGOZA WATUMISHI WA MUNGU KATIKA MAOMBI YA KUNENA KWA LUGHA. KATIKA IBADA YA NNE. JUMA PILI YA TAREHE 24.5.2015







Askofu mchungaji  mkuyu akiwaongoza watumishi wa Bwana katika maombi ya kunena kwa lugha katika ibada ya Nne ambapo wapo wengi waliwezeshwa na Roho mtakatifu kunena kwa lugha mpya ya roho mtakatifu.

MTUMISHI LUZIGA AKITOA MATANGAZO YA KANISA.

Mtumishi wa Mungu Luziga akitoa matangazo ya kanisa na ratiba yote ya wiki nzima ya kanisani pamoja na ibada za katikati ya wiki.

USHUHUDA WA MATENDO MAKUU YA BWANA YESU KWA WATU WAKE.

Mama alie simama katikati alie jifunika kanga, anapenda kumshukuru Mungu kwa matendo makuu na ya ajabu ambayo Mungu amemtendea, Kwa Bwana Yesu kumfanikisha kumalizia nyumba yake ambayo aliokuwa anaijenga. Bwana Yesu Apewe Sifa. (ZABURI 9:1)

WATUMISHI WA MUNGU WAKIWA WAMEWEKA MIKONO YAO KATIKA CHOMBO CHA SADAKA NA KUFANYA MAOMBI.



Watumishi wa Mungu na viongozi  na wachungaji wakiwa wameweka mikono yao katika vyombo vya sadaka za watakatifu wa Bwana na kuziombea na kuwaombea wale wote ambao wamewezakutoa sadaka izo na kila mmoja akapate kwenda kukutana na mkono wa Bwana Yesu mwenyewe na wakapate kupata baraka tele katika maisha yao na Mungu akape kwenda kuwajazia pale ambapo wamepunguza na Kuja kutoa kwa Bwana Yesu madhabahuni pake.

ASKOFU MCHUNGAJI MKUYU AKIWAONGOZA WATUMISHI WA MUNGU KATIKA MAOMBI MAZITO YA KUNENA KWA LUGHA MPYA. (MATENDO 2:4)











Askofu mchungaji mkuyu akiwaongoza watumishi wa Mungu katika maombi mazito ya kunena kwa lugha mpya kadri roho wa Bwana atakavyowashukia na kuwajaza watumishi wake.

KIKUNDI CHA KUSIFU NA KUABUDU KIKIMUIMBIA BWANA PAMOJA NA KUABUDU MADHABAHUNI PAKE PATAKATIFU.






Kukundi cha kusifu na kuabudu kikimuimbia Bwana wa majeshi na kumuabudu   Madhabahuni pake patakatifu katika Ibada ya Tatu.

ASKOFU MCHUNGAJI MKUYU AKIELEZEA KUHUSU UTOAJI WA SADAKA KWA BWANA.


Askofu mchungaji mkuyu akiwaelezea kuhusu faida na baraka katika  utoaji wa sadaka kwa Bwana .

Jumamosi, 23 Mei 2015

MCHUNGAJI KIONGOZI ASKOFU MKUYU AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA VIONGIZI WENZAKE, JUMAPILI YA TAREHE 17.5.2015

ASKOFU MCHUNGAJI  MKUYU NA MKE WAKE AKIWA NA DR.MCHUNGAJI OLE PAMOJA NA MKE WAKE, PAMOJA NA MCHUNGAJI MSAIDIZI MCHUNGAJI ZEPHANIA MKUYU PAMOJA NA MKE WAKE, PAMOJA NA MCHUNGAJI MAMA MWOSI, PAMOJA NA MZEE WA KANISA LA CAPITAL CHRISTIASTIAN CENTER MAMA ALIE VAA NGUO NYEKUNDU. WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA BAADA YA KUPATA CHAKULA CHA MCHANA

MCHUNGAJI MSAIDIZI MCHUNGAJI ZEPHANIA MKUYU AKAFANYA MAOMBI KWA WATU WENYE SHIDA MBALI MBALI KATIKA IBADA YA VIJANA. JUMA PILI YA TAREHE 17.5.2015

Mchungaji msaidizi mchungaji zephania mkuyu akifanya maombi kwa watumishi wa Mungu wenye shida mbali mbali ili Mungu akutane nao katika shida zao.

KWAYA YA CCC IKIMUIMBIA NA KUMSIFU MUNGU KATIKA IBADA YA NNE. YA JUMA PILI YA TAREHE 17.5.2015



Kwaya ya Wenyeji wa kanisa la CCC ikimuimbia na kumsifu bwana katika ibada ya nne katika kanisa la capital christian center

KWAYA YA ICC IKIMUIMBIA BWANA KATIKA IBADA YA NNE ILIYOFANYIKA CAPITAL CHRISTIAN CENTER. JUMA PILI YA TAREHE 17.5.2015







Kwaya ya ICC ikumuimbia na kumtukuza Bwana Yesu siku ya juma pili ya tarehe 17.5.2015. katika ibada ya nne , hakika Yesu alionekana na kuwagusa watu kupitia uimbaji wa kwaya hiyo.