Ijumaa, 12 Juni 2015

MCHUNGAJI MSAIDIZI ZEPHANIA MKUYU AKIWA ANATOA MAELEZO KIDOGO KUHUSU PETE HIYO YA UCHUMBA AMBAYO ALIOKABIDHIWA NA BWANA HARUSI


Mchungaji msaidizi Zephania mkuyu akiwa madhabahuni mwa Bwana akiwa anatoa maelekezo kuhusu pete iyo ya uchumba aliokabidhiwa na Bwana Harusi mtarajiwa kabla kabla ajamvalisha mchumba wake kipenzi na mke wake mtarajiwa.

0 maoni:

Chapisha Maoni