Ijumaa, 12 Juni 2015

MTUMISHI EMMANUEL AMBAYE NI BWANA HARUSI MTARAJIWA AKIWA AMEBEBWA JUU WAKATI AKITANGAZWA NA MCHUNGAJI KWAMBA YEYE NDIE ANAETANGAZA UCHUMBA. JUMA PILI TAREHE 7.6.2015





Mtunishi Emmanuel akiwa amebebwa juu kwa furaha na vijana wenzake wakati alipotajwa na mchungaji kwamba yeye ndie Bwana harusi mtarajiwa na anatangaza uchumba wake siku hiyo.

0 maoni:

Chapisha Maoni