Mchungaji mkuyu pamoja na watumishi mbali mbali wakifanya maombi kwa ajili ya watu wenye mahitaji mbali mbali ikiwemo na wanafunzi wa chuo wanaoenda kufanya mitahani yao, pia pamoja na wale ambao bado hawajapata wenzi wao wa maisha.Mungu akapate kuwafanikisha katika mahitaji yao.
0 maoni:
Chapisha Maoni