Ijumaa, 5 Juni 2015

JUMA PILI YA SIKUKUU YA WATOTO. YA TAREHE 31.6.2015. MCHUNGAJI ZEPHANIA MKUYU AKIKABIDHIWA ZAWADI NZURI KUTOKA KWA WATOTO.

Mchungaji zephania mkuyu pamoja na mke wake wakikabidhiwa zawadi nzuri kutoka kwa watoto kama sadaka ya shukrani kwao kwa malezi yao mazuri mpaka kufanikisha sikukuu yao ya watoto.

0 maoni:

Chapisha Maoni