Ijumaa, 5 Juni 2015

JUMA PILI YA SIKUKUU YA WATOTO YA TAREHE 31.6.2015. WATOTO WAKIWA KATIKA KUJIPANGA KUTOA ZAWADI KWA WACHUNGAJI NA VIONGOZI WA KANISA.

Watoto wa Kristo Yesu wakiwa katika mstari wakijianda kwenda kutoa zawadi kwa watumishi wa Mungu ambao wapo madhabahuni pa Mungu  Wakisubiri zawadi kutoka kwao watoto katika sikukuu hiyo  ya watoto.

0 maoni:

Chapisha Maoni