Ijumaa, 5 Juni 2015

JUMA PILI YA SIKUKUU YA WATOTO. KIPINDI CHA IGIZO FUPI KUTOKA KWA WATOTO.


Hili ni igizo fupi kutoka kwa watoto wa Kristo hapo tunaona mtoto ambaye ni mchungaji kiongozi katika igizo hilo akimuongoza sala ya toba  kondoo alie potea na kuamua kurudi nyumbani mwa Bwana na kuamua kuacha dhambi zake zote na Yesu akamfungua na kumsamehe makosa yake maana ameokoka katika jina la Yesu kristo.

0 maoni:

Chapisha Maoni