Jumatatu, 29 Juni 2015

MCHUNGAJI KIONGOZI ASKOFU MKUYU AKIWA ANATOA MATANGAZO MBALI MBALI PIA AKIWA ANAIELEZEA KIDOGO TIMU YA KUSIFU NA KUABUDU YA WANACHUO AMBAYO ITAKAYO WEKWA WAFU SIKU HIYO. JUMA PILI YA TAREHE. 28.6.2015

Askofu mchungaji mkuyu akiwa anatoa matangazo kidogo pia akizungumzia kidogo tu kuhusu timu ya kusifu na kuabudu ambayo ni ya wanachuo mbali mbali ambayo inaitwa The Spring Of Joy Team. kabla ajaiweka wafu na kuiombea.

0 maoni:

Chapisha Maoni