Jumatano, 24 Juni 2015

MCHUNGAJI KIONGOZI ASKOFU MKUYU AKIWA NA WATUMISHI WACHUNGAJI WENZAKE WAKIWA WANAFANYA MAOMBI MAALUMU KWA AJILI YA VIJANA WAO WALIOTANGAZA UCHUMBA. JUMA PILI YA TAREHE. 7.6.2015





Mchungaji kiongozi Askofu mkuyu akiwa pamoja na wachungaji wenzake wakiwa wanawafanyia vijana wao maombi maalum baadaya kutangaza uchumba wao kanisani hapo, ili Mungu akapate kuwatangulia katika uchumba wao na kuelekea kufunga ndoa.

0 maoni:

Chapisha Maoni