Jumatatu, 6 Julai 2015

APEWE SIFA MUNGU WA MAJESHI KWA KUMKUMBUKA MCHUNGAJI WETU KIONGOZI SAMSONI MKUYU KWA KUMPA GARI NZURI SANA AINA YA NISSAN PATROL . UTUKUFU APEWE BWANA YESU.(JUMA PILI YA TAREHE.5.7.2015)







Tunamshukuru Mungu Kwa Kumpa Mchungaji Wetu Kiongozi Gari nzuri  Aina ya NISSAN PATROL, Kwa ajili ya kufanya kazi yake ya kuhubiri injili sehemu mbalimbali Hapa Nchini Tanzania Pia hata pamoja na nje ya Nchi Ya Tanzania.

0 maoni:

Chapisha Maoni