Jumapili, 25 Oktoba 2015

MGENI NA MTUMISGHI WA MUNGU KUTOKA NCHINI (U.K.) UINGEREZA AKILISALIMIA KANISA. Juma pili tarehe. 25.octoba.2015

Pichani ni ndugu yetu kutoka nchini Uingereza akilisalimia kanisa pindi tu alipowasili kanisani hapo kutoka U.K. na kutupa salamu nyingi sana kutoka huko kwao, ikiwemo na salamu za Mtumishi Lucy ,,ambaye ni Mwenyekiti wa Tanzania U.K Trust, Tazama na Tunza.

0 maoni:

Chapisha Maoni