Jumapili, 25 Oktoba 2015

MCHUNGAJI KIONGOZI SAMSON MKUYU AKIFANYA MAOMBI MAALUM KWA AJILI YA MAKANISA YA UINGEREZA YAMWABUDU MUNGU WA KWELI. (25.OCTOBER.2015) JUMA PILI

Mchungaji kiongozi, mchungaji samson mkuyu akifanya maombui maalum pamoja na kanisa zima maombi maalum kwa ajili ya makanisa la nchini Uingereza ili yaw na uamsho wa kweli wa kumjua MUNGU ALIEHAI na kumtumikia Mungu aliehai na kumwabudu na kutukuza milele na milele katika maisha yao yote, maana kuna mambo ambayo yanaendelea Nchini U.K. ambayo hayana utukufu kwa Mungu wetu aliye hai, pia kumekuwa na roho mbaya mambazo yanafanya mpaka makanisa ya Mungu Nchini U.K. yanauzwa kwa Waislamu,pia kume kuwa na ibada za kufungisha Ndoa za jinsia moja katika makanisa hayo nchini U.K..

0 maoni:

Chapisha Maoni