Jumapili, 4 Oktoba 2015

FAMILIA YA MCHUNGAJI KIONGOZI ASKOFU SAMSON MKUYU INAPENDA KUMSHUKURU MUNGU KWA AJILI YA BINTI YAO KUPATA MTOTO WA KIUME. JUMA PILI 4.10.2015



Familia ya mchungaji kiongozi askofu samson mkuyu inapenda sana kumshukuru Mungu kwa sababu ya binti yao kupata mtoto wa kiume na kujifungua salama kabisa na akiwa mzima wa afya njema.

0 maoni:

Chapisha Maoni