Jumapili, 25 Oktoba 2015

WATUMISHI WA MUNGU NA WAGENI WETU KUTOKA UINGEREZA WAKIMUIMBIA BWANA. 25.OCTOBER.2015






Pichani ni Watumishi wa Bwana wakimuimbia Bwana katika ibada iliyofanyika capital christian centre miyuji Dodoma, hakika Bwana alionekana mahali hapo, pia hii ilikuwa ni juma pili ya uchaguzi mkuu wa kuchagua viongozi wetu nchini Tanzania

0 maoni:

Chapisha Maoni