Jumapili, 25 Oktoba 2015

PICHANI NI MAENDELEO YA HOSPITAL YETU AMBAYO IKO KANISANI NA INASIMAIWA NA TAZAMA NA TUNZA. JUMA PILI 25.OCTOBER.2015















Pichani ni majengo ya Hospital yetu ya Kanisa ambayo iko chini ya usimamizi wa Tanzania U.K Trust, na TAZAMA NA TUNZA FOUNDATION. ,, haya ni maendeleo ya Hospital Yetu mpaka sasa au wakati huu. juma pili 25.october.2015

0 maoni:

Chapisha Maoni