Mtumishi wa Mungu akiongea na kanisa la capital christian centre na kulitaka kanisa la Capital christian centre kuomba sana kwa ajili ya makanisa yaliyoko Nchini Uingereza , maana wanahitaji sana Nguvu ya Mungu aliye hai Itende kazi katika makanisa hayo yaliyoko nchini humo, maan akuna mambo mengi sana ambayo hayampendezi Mungu yanayotendeka Katika makanisa hayo,,
0 maoni:
Chapisha Maoni