Jumapili, 4 Oktoba 2015

MCHUNGAJI KIONGOZI SAMSON MKUYU AKIWAELEZA WATUMISHI WA MUNGU KWA MACHAFUKO YANAYOTOKEA SEHEMU MBALI MBALI DUNIANI. JUMA PILI. 04.09.2015

Katika ibada ya tatu katika kanisa la capital christian centre Askofu mkuyu ambaye pia ni mchungaji kiongozi wa kanisa hilo , akielezea na kuwaeleza watumishi wa Mungu katika ibada ya tatu kwa machafuko yanayoendelea hapa duniani amabapo tunaona taarifa hiyo ilitoka katika gazeti la JIBU.

0 maoni:

Chapisha Maoni