Jumapili, 4 Oktoba 2015

MTUMISHI WA MUNGU AKIMSHUKURU MUNGU KWA KUFIWA NA MWANAE WA KIUME MAANA WOTE NI MPANGO WA MUNGU. TAREHE. 4.10.2015

Mtumishi wa Mungu akimshukuru sana Mungu kwa kufiwa na mwanae mkubwa wa kiume , maana wote ni mpango wa Mungu na tunamuachie yote yeye maana yeye ndie kila kitu kwetu.

0 maoni:

Chapisha Maoni