This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Jumapili, 25 Oktoba 2015

MTUMISHI WA MUNGU KUTOKA UINGEREZA AKILIELEZA KANISA LA TANZANIA NA KUTAKA KUOMBEA SANA MAKANISA YALIYOKO NCHINI UINGEREZA. .... JUMA PILI 25.OCTOBER.205

Mtumishi wa Mungu akiongea na kanisa la capital christian centre na kulitaka kanisa la Capital christian centre  kuomba sana kwa ajili ya makanisa yaliyoko Nchini Uingereza , maana wanahitaji sana Nguvu ya Mungu aliye hai Itende kazi katika makanisa hayo yaliyoko nchini humo, maan akuna mambo mengi sana ambayo hayampendezi Mungu yanayotendeka Katika makanisa hay...

MCHUNGAJI NA MTUMISHI WA MUNGU KUTOKA UINGEREZA AKIHUBIRI NENO LA MUNGU. JUMA PILI 25.OCTOBER.2015

Mchungaji na mtumishi wa Mungu kutoka Uingereza akihubiri Neno la Mungu katika kanisa la Capital christian Centre katika ibada ya juma pili ya Siku ya Uchaguzi Wa Rais wa Tanzan...

PICHANI NI MAENDELEO YA HOSPITAL YETU AMBAYO IKO KANISANI NA INASIMAIWA NA TAZAMA NA TUNZA. JUMA PILI 25.OCTOBER.2015

Pichani ni majengo ya Hospital yetu ya Kanisa ambayo iko chini ya usimamizi wa Tanzania U.K Trust, na TAZAMA NA TUNZA FOUNDATION. ,, haya ni maendeleo ya Hospital Yetu mpaka sasa au wakati huu. juma pili 25.october.2...

MCHUNGAJI KIONGOZI SAMSON MKUYU AKIFANYA MAOMBI MAALUM KWA AJILI YA MAKANISA YA UINGEREZA YAMWABUDU MUNGU WA KWELI. (25.OCTOBER.2015) JUMA PILI

Mchungaji kiongozi, mchungaji samson mkuyu akifanya maombui maalum pamoja na kanisa zima maombi maalum kwa ajili ya makanisa la nchini Uingereza ili yaw na uamsho wa kweli wa kumjua MUNGU ALIEHAI na kumtumikia Mungu aliehai na kumwabudu na kutukuza milele na milele katika maisha yao yote, maana kuna mambo ambayo yanaendelea Nchini U.K. ambayo hayana utukufu kwa Mungu wetu aliye hai, pia kumekuwa na roho mbaya mambazo yanafanya mpaka makanisa ya...

WATUMISHI WA MUNGU NA WAGENI WETU KUTOKA UINGEREZA WAKIMUIMBIA BWANA. 25.OCTOBER.2015

Pichani ni Watumishi wa Bwana wakimuimbia Bwana katika ibada iliyofanyika capital christian centre miyuji Dodoma, hakika Bwana alionekana mahali hapo, pia hii ilikuwa ni juma pili ya uchaguzi mkuu wa kuchagua viongozi wetu nchini Tanza...

MAMA MTUMISHI WA MUNGU KUTOKA U.K. UINGEREZA AKILISALIMIA KANISA LA BWANA YESU PINDI TU ALIPOWASILI KANISANI. 25. OCTOBER.2015

Mama mtumishi wa Mungu akilisalimia kanisa, ni mama na mgeni wetu kutoka nchini Uingereza akilisalimia kanisa pindi tu alipokaribishwa kusalimia kanisa la Bwa...

MGENI NA MTUMISGHI WA MUNGU KUTOKA NCHINI (U.K.) UINGEREZA AKILISALIMIA KANISA. Juma pili tarehe. 25.octoba.2015

Pichani ni ndugu yetu kutoka nchini Uingereza akilisalimia kanisa pindi tu alipowasili kanisani hapo kutoka U.K. na kutupa salamu nyingi sana kutoka huko kwao, ikiwemo na salamu za Mtumishi Lucy ,,ambaye ni Mwenyekiti wa Tanzania U.K Trust, Tazama na Tun...

Jumapili, 4 Oktoba 2015

FAMILIA YA MCHUNGAJI KIONGOZI ASKOFU SAMSON MKUYU INAPENDA KUMSHUKURU MUNGU KWA AJILI YA BINTI YAO KUPATA MTOTO WA KIUME. JUMA PILI 4.10.2015

Familia ya mchungaji kiongozi askofu samson mkuyu inapenda sana kumshukuru Mungu kwa sababu ya binti yao kupata mtoto wa kiume na kujifungua salama kabisa na akiwa mzima wa afya nje...

MTUMISHI WA MUNGU AKIMSHUKURU MUNGU KWA KUFIWA NA MWANAE WA KIUME MAANA WOTE NI MPANGO WA MUNGU. TAREHE. 4.10.2015

USHUHUDA Mtumishi wa Mungu akimshukuru sana Mungu kwa kufiwa na mwanae mkubwa wa kiume , maana wote ni mpango wa Mungu na tunamuachie yote yeye maana yeye ndie kila kitu kwe...

MMOJA WA WATUMISHI WA MUNGU KATIKA KANISA , AKIWA KATIKA UWEPO WA BWANA WAKATI WA KUOMBEA UCHAGUZI WA 25.OKTOBA.20115.

Mmmoja wa wahumini wa kristo akiwa katika uwepo wa Bwana wakati wa kuombea uchaguzi wa mwaka huu pamoja na amani katika nchi mya Tanzania pia pamoja na toba kwa nchi nzi...

KIKUNDI CHA KUSIFU NA KUABUDU KIKUMUABUDU BWANA KATIKA IBADA YA TATU. JUMA PILI 04.10.2015

Kikundi cha kusifu na kuabudu kikimuabudu Bwana madhabahuni pake katika ibada ya tatu...

MCHUNGAJI KIONGOZI SAMSON MKUYU AKIWAELEZA WATUMISHI WA MUNGU KWA MACHAFUKO YANAYOTOKEA SEHEMU MBALI MBALI DUNIANI. JUMA PILI. 04.09.2015

Katika ibada ya tatu katika kanisa la capital christian centre Askofu mkuyu ambaye pia ni mchungaji kiongozi wa kanisa hilo , akielezea na kuwaeleza watumishi wa Mungu katika ibada ya tatu kwa machafuko yanayoendelea hapa duniani amabapo tunaona taarifa hiyo ilitoka katika gazeti la JI...

BWANA NA BIBI HARUSI NA WASIMAMIZI WAO WAKINYWA VINYWAJI VYAO KWA PAMOJA. JUMA PILI TAREHE. 27.9.2015

Bwana na Bibi harusi wakinywa vijanywaji vyao kwa pamoja na wasimamizi wao, ndani ya ukumbi wa African Drea...

BWANA EMMANUEL ULOMI AKIMNYWESHA MKE WAKE MPENZI KINYWAJI PAMOJA NA MKE WAKE ELLA AKIMNYWESHA PIA. JUMA PILI. 27.9.2015

BWANA EMMANUEL ULOMI AKIMNYWESHA MKE WAKE KINYWAJI NA MKE WAKE PIA AKIMNYWESHA MUME WAKO KINYWAJI,. KATIKA UKUMBI WA AFRICAN DREA...

BWANA NA BIBI HARUSI WAKIWA WANAENDA KUKABIDHI KEKI KWA KAMATI YA MAANDALIZI YA HARUSI YAO.JUMA PILI YA TAREHE. 27.9.2015

Bwana na Bibi harusi mr and mrs emmanuel ulomi wakiwa wanaenda kukabidhi keki kwa kamati ya maandalizi ya harusi yao, katika ukumbi wa African Dreams Dodo...

BWANA EMMANUEL ULOMI AKIWA NA BIBI ELLA KATIKA PICHA YA PAMOJA

...

PICHANI NI WATU WALIOSIMAMIA HARUSI YA BWANA EMMANUEL ULOMI UPANDE WA MEDS.

...

BWANA HARUSI PAMOJA NA BIBI HARUSI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAZAZI WAKE.

...

MR. EMMANUEL ULOMI AKIWA NA MKEWE KATIKA PICHA YA PAMOJA NA BI ELLA KALENGELA. JUMA PILIM YA TAREHE.27.9.2015

Mr. emmanuel ulomi akiwa na mke wake katika picha ya pamoja baada tu ya kumaliza tendom la kusaini vyeti vyao vya n...

BWANA EMMANUEL ULOMI PAMOJA NA MKE WAKE KIPENZI WAKIWA WANAWEKA SAINA ZAO KATIKA CHETI CHA NDOA. TAREHE. 27.9.2015

Bwana Emmanul ulomi pamoja na mke wake wakiwa wanaweka saini katika cheti chao cha ndoa yao takatifu punde tu walipofunga ndoa baada ya mda mfupi uliopi...

MR. EMMANUEL ULOMI PAMOJA NA MKE WAKE KIPENZI WAKIINGIA KANISANI KWA AJILI YA TENDO LA KUFUNGA NDOA. TAREHE. 27.9.2015

Mr. Emmanuel ulomi akiingia pamoja na mke wake mtarajiwa wakati kwakiwa wanaenda madhabuhi pa Bwana katika tendo la kufungishwa ndoa takatifu ya kuwa mke na mume ras...

BWANA HARUSI EMMANUEL ULOMI AKIJIANDAA KUMFUNUA SHELA BIBI HARUSI NA KUHAKIKISHA KAMA KWELI NI YEYE. TAREHE. 27.9.2015

Pichani ni Bwana harusi Emmanuel ulomi akijiandaa kufunua shela bibi harusi na kuhakikisha kama kweli ni yeye ndie yule chaguo la moyo wake au la...

MAMA MOSI AKIMTOA BINTI YAKE ELLA AOLEWE NA BWANA EMMANUEL ULOMI. TAREHE. 27.9.2015

Mama mosi akimtoa binti yake ella aolewe na bwana emmanuel uloli katika ibada takatifu ya ndoa iliyofanyika kanisani ha...

BIBI HARUSI ELLA KALENGELA AKIINGIA KANISANI.

Bibi harusi ella kalengela akiingia kanisani katika ibada ya ndoa ambayo wakatayofungishwa na mchungaji msaidizi zephania mku...