This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Jumapili, 20 Desemba 2015

MCHUNGAJI WA VIJANA RAPHAEL LYELA AKIHUBIRI KATIKA IBADA YA VIJANA KATIKA IBADA YA TATU. 20.DECEMBER.2015

Mchungaji wa Vijana Mchungaji Raphael lyela Akihubiri katika ibada ya tatu ambayo ibada iyo ni ibada ya vijana,,,Mhubiri alihubiri Neno la Mungu kuhusiana na utoaji wa sadaka katika madhabahu ya BwanaSOMO: UTUKUFU WA  KUISHI KATIKA MAISHA YA UTOAJI.ANDIKO:  MWANZO 4:1-7                MWANZO 22:1KATIKA MAISHA YA MWANADAMU KUNA FAIDA KUBWA SANA KATIKA SWALA LA KUMTOLEA MUNGU, NA UKUITAKA KUFANIKIWA...

Jumanne, 17 Novemba 2015

Jumatatu, 16 Novemba 2015

KIJANA WA YESU AKIWA AMENYENYEKEA KWA UNYENYEKEVU MKUBWA MBELE YA MADHABAHU YA BWANA. 15.NOVEMBER.2015

Kijana wa kanisa la Capital christian centre akiw akiwa katika maombi mazito huku akinyenyekea kwa unyenyekesha mkubwa sana mbele ya madhabahu ya Bwana , wakati watutumishi wa Mungu wakifanya maombi maalumu kwa watumishi wote wa kanisani ha...

MTUMISHI WA MUNGU MAMA MCHUNGAJI MWOSI AKIFANYA MAOMBI MAALUMU KWA WAUMINI WOTE WA KANISA ZIMA KABLA YA NENO LA MUNGU . 15.NOVEMBER.2015

Mtumishii wa Mungu mama mchungaji mwosi akifanya maombi maalumu kwa kanisa zima kabla ya kuanza kufundisha neno la Mungu...

MAMA MCHUNGAJI MOSI AKIFUNDISHA NA KUHUBIRI MANENO YA BWANA MADHABAHUNII PAKE. 15.NOVEMBER.2015

Mama mchungaji  mosi akifundisha na kuhubiri neno la Bwana madhabahuni pake,,  Kichwa cha somo ni: Aina za utoaji na kanuni za utoaji. Maandiko: Warumi 12:1-2                  Mwanzo 2:4-8                2 wafalme 4:9-13                  ...

Jumapili, 15 Novemba 2015

KIKUNDI CHA KUSIFU NA KUABUDU KIKIMTUKUZA NA KUMWIMBIA BWANA MADHABAHUNI PAKE. 15. NOVEMBER.2015

Kikundi cha kusifu na kuabudu kikimtukuza na kumuimbia Bwana madhabahuni pake patakatifu katika ibada ya vijana ambayo ni ibada ya ta...

KIKUNDI CHA KUSIFU NA KUABUDU KIKIMSIFU NA KUMWABUDU BWANA MADHABAHUNI PAKE. 15.NOVEMBER.2015

Kikundi cha kusifu na kuabudu kikimsifu na kumtukuza Bwana madhabahuni pake katika ibada ya ta...

PICHANI NI KATIBU WA VIJANA BW. SHEDRACK AKIWA NA MWENZAKE WAKICHEZA IGIZO LA MANABII WA UONGO KATIKA SIKUKUU YA VIJANA. 1. NOVEMBER . 2015

Pichani ni igizo ambalo linahusu manabii wa uongo katika siku hizi za mwisho, igizo hilo ambalo lilichezwa na vijana wa hapo hapo kanisani katika sikuu yao ya vija...

MCHUNGAJI MSAIDIZI, ZEPHANIA MKUYU AKIFUNDISHA NENO LA MUNGU KATIKA IBADA YA VIJANA KATIKA SIKUKUU YA VIJANA. 1.NOVEMBER.2015

Mchungaji msaidizi akiwa madhabahuni mwa Bwana akifundisha neno la Bwana katika ibada ya tatu ya vija...

Jumamosi, 14 Novemba 2015

VIJANA WA CA,S WAKIWA WANAMUIMBIA BWANA KATIKA SIKUKUU YAO YA VIJANA. 1.NOVEMBER.2015

Vijana wa Ca,s wakimuimbia Bwana mahabahuni pake wakiwa wamejaa mioyo ya furaha sana kusheherekea sikukuu yao ya vija...

WATUMISHI WA MUNGU WAKIWA KATIKA UWEPO WA BWANA. 1.NOVEMBER.2015

Watumishi wa Mungu wakiwa katika uwepo wa Bwana pindi Mchungaji kiongozi , mchungaji samson mkuyu pamoja nan katibu wa Ca,s Tanzania wakifanya maombi maalumu kwa ajili ya watumishi ha...

MTUMISHI WA MUNGU KATIBU WA CA,S TANZANIA AKIFANYA MAOMBI MAALUMU KWA AJILI YA KANISA . 1.NOVEMBER.2015

Mtumishi wa Mungu na Katibu wa Ca,s Tanzania akifanya maombi maalumu kwa ajili yan kanisa zima kwa ujumla pamoja na vijana wote wa kanisani katika siku hiyo ya sikukuu ya vija...

MWENYE KITI WA VIJANA KANISANI AKIFANYA MAOMBI KWA WAHITAJI WA MAMBO MBALI MBALI. 1.NOVEMBER.2015

Mwenye kiti wa vijana akifanya maombi kwa wahitaji wa mambo mbali mbali madhabahuni mwa Bwana. Katika sikukuu ya vij...

MCHUNGAJI MKUYU AKIFANYA MAOMBI KWA WALIO NA SHIDA MBALI MBALI KATIKA SIKUKUU YA VIJANA. 1. NOVEMBER.2015

Mchungaji kiongongozi mchungaji mkuyu akifanya maombi maalumu kwa ajili ya watu wenye shida mbali mbali katika ibada ya sikukuu ya vija...

KIKUNDI CHA KUSIFU NA KUABUDU KIKIWA TAYARI KUELEKEA MADHABAHUNI MWA BWANA KWA AJILI YA KUMUIMBIA BWANA. 1. NOVEMBER.2015

Kikundi cha kusifu na kuabudu kikiwa Tayari kabisa kwa ajili ya kumuimbia Bwana katika sikukuu Ya vijana iliyo fanyika katika kanisa la Capital christian Centre. miyuji. Dod...

MTUMISHI EMMANUEL ULOMI AKIHUBIRI NENO LA MUNGU KATIKA IBADA YA PILI. 1.NOVEMBER.2015

Mtumishi wa Mungu na mpakwa mafuta wa Bwana akifundisha neno la Mungu katika ibada ya pili ambayo siku iyo ilikuwa  ni sikukuu ya vija...

Jumapili, 25 Oktoba 2015

MTUMISHI WA MUNGU KUTOKA UINGEREZA AKILIELEZA KANISA LA TANZANIA NA KUTAKA KUOMBEA SANA MAKANISA YALIYOKO NCHINI UINGEREZA. .... JUMA PILI 25.OCTOBER.205

Mtumishi wa Mungu akiongea na kanisa la capital christian centre na kulitaka kanisa la Capital christian centre  kuomba sana kwa ajili ya makanisa yaliyoko Nchini Uingereza , maana wanahitaji sana Nguvu ya Mungu aliye hai Itende kazi katika makanisa hayo yaliyoko nchini humo, maan akuna mambo mengi sana ambayo hayampendezi Mungu yanayotendeka Katika makanisa hay...

MCHUNGAJI NA MTUMISHI WA MUNGU KUTOKA UINGEREZA AKIHUBIRI NENO LA MUNGU. JUMA PILI 25.OCTOBER.2015

Mchungaji na mtumishi wa Mungu kutoka Uingereza akihubiri Neno la Mungu katika kanisa la Capital christian Centre katika ibada ya juma pili ya Siku ya Uchaguzi Wa Rais wa Tanzan...

PICHANI NI MAENDELEO YA HOSPITAL YETU AMBAYO IKO KANISANI NA INASIMAIWA NA TAZAMA NA TUNZA. JUMA PILI 25.OCTOBER.2015

Pichani ni majengo ya Hospital yetu ya Kanisa ambayo iko chini ya usimamizi wa Tanzania U.K Trust, na TAZAMA NA TUNZA FOUNDATION. ,, haya ni maendeleo ya Hospital Yetu mpaka sasa au wakati huu. juma pili 25.october.2...

MCHUNGAJI KIONGOZI SAMSON MKUYU AKIFANYA MAOMBI MAALUM KWA AJILI YA MAKANISA YA UINGEREZA YAMWABUDU MUNGU WA KWELI. (25.OCTOBER.2015) JUMA PILI

Mchungaji kiongozi, mchungaji samson mkuyu akifanya maombui maalum pamoja na kanisa zima maombi maalum kwa ajili ya makanisa la nchini Uingereza ili yaw na uamsho wa kweli wa kumjua MUNGU ALIEHAI na kumtumikia Mungu aliehai na kumwabudu na kutukuza milele na milele katika maisha yao yote, maana kuna mambo ambayo yanaendelea Nchini U.K. ambayo hayana utukufu kwa Mungu wetu aliye hai, pia kumekuwa na roho mbaya mambazo yanafanya mpaka makanisa ya...

WATUMISHI WA MUNGU NA WAGENI WETU KUTOKA UINGEREZA WAKIMUIMBIA BWANA. 25.OCTOBER.2015

Pichani ni Watumishi wa Bwana wakimuimbia Bwana katika ibada iliyofanyika capital christian centre miyuji Dodoma, hakika Bwana alionekana mahali hapo, pia hii ilikuwa ni juma pili ya uchaguzi mkuu wa kuchagua viongozi wetu nchini Tanza...