• Nyumbani

T.A.G CAPITAL CHRISTIAN CENTRE CHURCH ( MIYUJI DODOMA )

About

  • Home
  • Business
    • Internet
    • Market
    • Stock
  • Downloads
    • Dvd
    • Games
    • Software
      • Office
  • Parent Category
    • Child Category 1
      • Sub Child Category 1
      • Sub Child Category 2
      • Sub Child Category 3
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • Featured
  • Health
    • Childcare
    • Doctors
  • Uncategorized

MATANGAZO YA LEO. TAREHE 15.NOVEMBER..2015

1.Mchungaji wa Zamu Wa Wiki Ijayo Ni : Raphael Lyela. 2.Juma pili Ya Mwisho Wa Mwezi huu Kutakuwa na Tamasha la Kusifu Na Kuabudu. .... Wale wote ambao wanaitaji kuimba katika Tamasha Hilo inabidi walete taarifa zao mapema ili wawekwe kwenye Ratiba. 3. Tunapenda kuwa tangazia watu wote kwamba fomu za kujiunga na shule yetu ya chekechea kwa mwaka 2016 iliyoko hapa kanisani capital christian centre, Fomu zinapatikana kwa mwalimu mkuu mwalimu Loveness hapo hapo kanisani katika jengo la MAVUNO HOUSE. 4. Wajumbe wote wa Tazama na Tunza mnaombwa kesho kuonana saa nne kamili asubuhi kanisani katika ofisi ya Tazama na Tunza iliyoko hapo kanisani MAVUNO HOUSE. 5.Ijumaa kutakuwa na mkesha kuanzia saa mbili (2) kamili asubuhi mpaka saa sita (6) usiku Wote Mnakaribishwa sana bila kukosa.

Categories

  • KIJANA MTUMISHI WA MUNGU AKIMSHUKURU MUNGU MADHABAHUNI PAKE.
  • MAOMBI MAALUMU KUTOKA KWA MCHUNGAJI ASKOFU MKUYU
  • MTUMISHI WA MUNGU MZEE WA KANISA LA VIJANA ATANGAZA UCHUMBA LEO.

Blog Archive

Jumamosi, 14 Novemba 2015

MCHUNGAJI KIONGOZI SAMSON MKUYU AKIFANYA MAOMBI KWA WATU WENYE MAHITAJI MBALI MBALI KATIKA SIKUKUU YA VIJANA. 1.NOVEMBER.2015

09:32    No comments


Tuma Hii kwa Barua pepeBlogu Hii!Chapisha kwenye XShiriki kwenye Facebook
Chapisho Jipya Taarifa za zamani Nyumbani

0 maoni:

Chapisha Maoni

Jisajili kwenye: Chapisha Maoni (Atom)

Social Profiles

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail
  • Popular Posts
  • Archives
  • KIKUNDI CHA KUSIFU NA KUABUDU CHA C.C.C WAKIWASHA MOTO KATIKA TAMASHA LA SIFA NA KUABUDU.
    ...
  • BWANA HARUSI PAMOJA NA BIBI HARUSI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAZAZI WAKE.
  • ASKOFU MCHUNGAJI MKUYU AKIWAONGOZA WATUMISHI WA MUNGU KATIKA MAOMBI YA KUNENA KWA LUGHA. KATIKA IBADA YA NNE. JUMA PILI YA TAREHE 24.5.2015
    Askofu mchungaji  mkuyu akiwaongoza watumishi wa Bwana katika maombi ya kunena kwa lugha katika ibada ya Nne ambapo wapo...
  • MAHARUSI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WASIMAMIZI WAO WOTE WA HARUSI YAO IKIWEMO MEDS SHOW. JUMA PILI TAREHE.27.9.2015
  • MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE
    Mwalimu mwakasege akihubiri na kufundisha maneno ya Mungu katika viwanja vya Dodoma .
  • KWAYA YA ICC IKIMUIMBIA BWANA KATIKA IBADA YA NNE ILIYOFANYIKA CAPITAL CHRISTIAN CENTER. JUMA PILI YA TAREHE 17.5.2015
    Kwaya ya ICC ikumuimbia na kumtukuza Bwana Yesu siku ya juma pili ya tarehe 17.5.2015. katika ibada ya nne , hakika Yesu...
  • UJENZI WA HOSPITALI YA KANISA NA (TAZAMA NA TUNZA) UKIENDELEA VIZURI MPAKA HATUA HII.
    Ujenzi wa Hospitali Ya Kanisa Na TAZAMA NA TUNZA FOUNDATION. Ujenzi huo tunamshukuru Mungu Mpaka sasa unaendelea v...
  • MCHUNGAJI KIONGOZI WA KANISA LA CAPITAL CHRISTIAN CENTER ASKOFU MKUYU.
    MCHUNGAJI KIONGOZI WA KANISA LA CAPITAL CHRISTIAN CENTER , ASKOFU MCHUNGAJI MKUYU, AKIFANYA MAOMBI NA KUWABARIKI WATUMISHI WA MUNGU WALIOK...
  • KIKUNDI CHA KUSIFU NA KUABUDU KIKIKUABUDU MUNGU.
    Kikundi cha kusifu Na kuabudu kikimuabudu Mungu Katika Ibada Ya Tatu, Hakika Bwana Wa Majeshi Alishuka na Kuwagusa Watumishi Wake katik...
  • JUMAPILI YA SIKUKUU YA WATOTO. WAZAZI WAKIWAOMBEA WATOTO NA WAKUMBATIA KWA UPENDO.
    Wazazi wakiwakumbatia watoto na kuwaombea kwa upendo , pia watoto pia katika sikukuu yao hiyo walifarijika sana kuombea baraka kw...

Blog Archive

  • ▼  2015 (143)
    • ►  Desemba (1)
    • ▼  Novemba (18)
      • WATAKATIFU WA BWANA WAKIWA KATIKA MAOMBI MAZITO MA...
      • KIJANA WA YESU AKIWA AMENYENYEKEA KWA UNYENYEKEVU ...
      • MTUMISHI WA MUNGU MAMA MCHUNGAJI MWOSI AKIFANYA MA...
      • MAMA MCHUNGAJI MOSI AKIFUNDISHA NA KUHUBIRI MANENO...
      • KIKUNDI CHA KUSIFU NA KUABUDU KIKIMTUKUZA NA KUMWI...
      • KIKUNDI CHA KUSIFU NA KUABUDU KIKIMSIFU NA KUMWABU...
      • PICHANI NI KATIBU WA VIJANA BW. SHEDRACK AKIWA NA ...
      • WATUMISHI MBALI MBALI WAKIWA WANAFANYA MAOMBI KWA ...
      • MCHUNGAJI MSAIDIZI, ZEPHANIA MKUYU AKIFUNDISHA NEN...
      • VIJANA WA CA,S WAKIWA WANAMUIMBIA BWANA KATIKA SIK...
      • MTUMISHI WA BWANA NA KATIBU MKUU WA CA,S TANZANIA...
      • WATUMISHI WA MUNGU WAKIWA KATIKA UWEPO WA BWANA. ...
      • MTUMISHI WA MUNGU KATIBU WA CA,S TANZANIA AKIFANYA...
      • MCHUNGAJI KIONGOZI SAMSON MKUYU AKIFANYA MAOMBI KW...
      • MWENYE KITI WA VIJANA KANISANI AKIFANYA MAOMBI KWA...
      • MCHUNGAJI MKUYU AKIFANYA MAOMBI KWA WALIO NA SHID...
      • KIKUNDI CHA KUSIFU NA KUABUDU KIKIWA TAYARI KUELEK...
      • MTUMISHI EMMANUEL ULOMI AKIHUBIRI NENO LA MUNGU KA...
    • ►  Oktoba (29)
    • ►  Septemba (1)
    • ►  Agosti (1)
    • ►  Julai (17)
    • ►  Juni (33)
    • ►  Mei (43)
  • ►  2014 (28)
    • ►  Novemba (10)
    • ►  Septemba (18)
Inaendeshwa na Blogger.

MCHUNGAJI KIONGOZI.

MCHUNGAJI KIONGOZI.
ASKOFU. MKUYU

Search My Blogg

Pages

  • Nyumbani

Blog Archive

Labels

  • KIJANA MTUMISHI WA MUNGU AKIMSHUKURU MUNGU MADHABAHUNI PAKE.
  • MAOMBI MAALUMU KUTOKA KWA MCHUNGAJI ASKOFU MKUYU
  • MTUMISHI WA MUNGU MZEE WA KANISA LA VIJANA ATANGAZA UCHUMBA LEO.

Categories

  • KIJANA MTUMISHI WA MUNGU AKIMSHUKURU MUNGU MADHABAHUNI PAKE.
  • MAOMBI MAALUMU KUTOKA KWA MCHUNGAJI ASKOFU MKUYU
  • MTUMISHI WA MUNGU MZEE WA KANISA LA VIJANA ATANGAZA UCHUMBA LEO.

 
  • Blogger news

  • Blogroll

  • About

Copyright © T.A.G CAPITAL CHRISTIAN CENTRE CHURCH ( MIYUJI DODOMA ) | Powered by Blogger
Design by FThemes | Blogger Template by Top Blogger Templates
Free magazine themes