Jumatatu, 16 Novemba 2015

MAMA MCHUNGAJI MOSI AKIFUNDISHA NA KUHUBIRI MANENO YA BWANA MADHABAHUNII PAKE. 15.NOVEMBER.2015

Mama mchungaji  mosi akifundisha na kuhubiri neno la Bwana madhabahuni pake,,

 Kichwa cha somo ni: Aina za utoaji na kanuni za utoaji.

Maandiko: Warumi 12:1-2
                 Mwanzo 2:4-8
               2 wafalme 4:9-13
                  Kutoka 35:20
                              36:3-7
                  Kutoka 22:29
                  malaki     3:7

Kuna siri kubwa sana katika utoaji wa sadaka kwa Mungu, pia kuna baraka nyingi sana ambazo zinatokana na utoaji wa sadaka  kwa Mungu, mtumishi wa Mungu jitahidi sana kutoa sadaka maana ndio baraka zako ambako zipo katika kutoa kwa Bwana.

0 maoni:

Chapisha Maoni