Jumapili, 20 Desemba 2015

MCHUNGAJI WA VIJANA RAPHAEL LYELA AKIHUBIRI KATIKA IBADA YA VIJANA KATIKA IBADA YA TATU. 20.DECEMBER.2015

Mchungaji wa Vijana Mchungaji Raphael lyela Akihubiri katika ibada ya tatu ambayo ibada iyo ni ibada ya vijana,,,


Mhubiri alihubiri Neno la Mungu kuhusiana na utoaji wa sadaka katika madhabahu ya Bwana

SOMO: UTUKUFU WA  KUISHI KATIKA MAISHA YA UTOAJI.

ANDIKO:  MWANZO 4:1-7
                MWANZO 22:1

KATIKA MAISHA YA MWANADAMU KUNA FAIDA KUBWA SANA KATIKA SWALA LA KUMTOLEA MUNGU, NA UKUITAKA KUFANIKIWA LAZIMA UWE NA TABIA YA KUMTOLEA MUNGU MAANA KATIKA UTOAJI WA SADAKA KATIKA MADHABAHU YA BWANA NI KUMBARIKI MUNGU NA KUMFANYA MUNGU AFUNGUE MILANGO YA MAFANIKIO KATIKA MAISHA YAKO YA KILA SIKU YA HAPA DUNIANI.

0 maoni:

Chapisha Maoni