• Nyumbani

T.A.G CAPITAL CHRISTIAN CENTRE CHURCH ( MIYUJI DODOMA )

About

  • Home
  • Business
    • Internet
    • Market
    • Stock
  • Downloads
    • Dvd
    • Games
    • Software
      • Office
  • Parent Category
    • Child Category 1
      • Sub Child Category 1
      • Sub Child Category 2
      • Sub Child Category 3
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • Featured
  • Health
    • Childcare
    • Doctors
  • Uncategorized

MATANGAZO YA LEO. TAREHE 15.NOVEMBER..2015

1.Mchungaji wa Zamu Wa Wiki Ijayo Ni : Raphael Lyela. 2.Juma pili Ya Mwisho Wa Mwezi huu Kutakuwa na Tamasha la Kusifu Na Kuabudu. .... Wale wote ambao wanaitaji kuimba katika Tamasha Hilo inabidi walete taarifa zao mapema ili wawekwe kwenye Ratiba. 3. Tunapenda kuwa tangazia watu wote kwamba fomu za kujiunga na shule yetu ya chekechea kwa mwaka 2016 iliyoko hapa kanisani capital christian centre, Fomu zinapatikana kwa mwalimu mkuu mwalimu Loveness hapo hapo kanisani katika jengo la MAVUNO HOUSE. 4. Wajumbe wote wa Tazama na Tunza mnaombwa kesho kuonana saa nne kamili asubuhi kanisani katika ofisi ya Tazama na Tunza iliyoko hapo kanisani MAVUNO HOUSE. 5.Ijumaa kutakuwa na mkesha kuanzia saa mbili (2) kamili asubuhi mpaka saa sita (6) usiku Wote Mnakaribishwa sana bila kukosa.

Categories

  • KIJANA MTUMISHI WA MUNGU AKIMSHUKURU MUNGU MADHABAHUNI PAKE.
  • MAOMBI MAALUMU KUTOKA KWA MCHUNGAJI ASKOFU MKUYU
  • MTUMISHI WA MUNGU MZEE WA KANISA LA VIJANA ATANGAZA UCHUMBA LEO.

Blog Archive

Jumapili, 15 Novemba 2015

WATUMISHI MBALI MBALI WAKIWA WANAFANYA MAOMBI KWA AJILI YA WENYE UHITAJI NA MAHITAJI MBALI MBALI.

07:42    No comments


Tuma Hii kwa Barua pepeBlogu Hii!Chapisha kwenye XShiriki kwenye Facebook
Chapisho Jipya Taarifa za zamani Nyumbani

0 maoni:

Chapisha Maoni

Jisajili kwenye: Chapisha Maoni (Atom)

Social Profiles

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail
  • Popular Posts
  • Archives
  • KIKUNDI CHA KUSIFU NA KUABUDU CHA C.C.C WAKIWASHA MOTO KATIKA TAMASHA LA SIFA NA KUABUDU.
    ...
  • ASKOFU MCHUNGAJI MKUYU AKIWAONGOZA WATUMISHI WA MUNGU KATIKA MAOMBI YA KUNENA KWA LUGHA. KATIKA IBADA YA NNE. JUMA PILI YA TAREHE 24.5.2015
    Askofu mchungaji  mkuyu akiwaongoza watumishi wa Bwana katika maombi ya kunena kwa lugha katika ibada ya Nne ambapo wapo...
  • MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE
    Mwalimu mwakasege akihubiri na kufundisha maneno ya Mungu katika viwanja vya Dodoma .
  • WATUMISHI WA MUNGU WAKIWA WAMEWEKA MIKONO YAO KATIKA CHOMBO CHA SADAKA NA KUFANYA MAOMBI.
    Watumishi wa Mungu na viongozi  na wachungaji wakiwa wameweka mikono yao katika vyombo vya sadaka za watakatifu wa Bwana na kuziombe...
  • MAHARUSI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WASIMAMIZI WAO WOTE WA HARUSI YAO IKIWEMO MEDS SHOW. JUMA PILI TAREHE.27.9.2015
  • JUMA PILI YA SIKUKUU YA WATOTO. WATOTO WA KRISTO YESU WAKIIMBA NGONJERA.
    Watoto wa Kristo Yesu wakiimba Ngonjera yao nzuri katika sikukuu yao ya watoto madhabahuni mwa Bwana juma pili ya Tarehe 31.6.2015
  • ASKOFU MCHUNGAJI MKUYU AKIWAONGOZA WATUMISHI WA MUNGU KATIKA MAOMBI MAZITO YA KUNENA KWA LUGHA MPYA. (MATENDO 2:4)
    Askofu mchungaji mkuyu akiwaongoza watumishi wa Mungu katika maombi mazito ya kunena kwa lugha mpya kadri ro...
  • MOJA KATI YA WACHUNGAJI WA KIKUNDI CHA MAOMBI CHA AFRIKA MASHARIKI AKIFANYA MAOMBI KWA KANISA LA C.C.C
    Moja Kati Ya Wachungaji Waliokuja Katika Kanisa La Capital christian Center Dodoma Akifanya Maombi Kwa Kanisa Kuhusiana Na Hab...
  • BWANA HARUSI PAMOJA NA BIBI HARUSI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAZAZI WAKE.
  • UJENZI WA HOSPITALI YA KANISA NA (TAZAMA NA TUNZA) UKIENDELEA VIZURI MPAKA HATUA HII.
    Ujenzi wa Hospitali Ya Kanisa Na TAZAMA NA TUNZA FOUNDATION. Ujenzi huo tunamshukuru Mungu Mpaka sasa unaendelea v...

Blog Archive

  • ▼  2015 (143)
    • ►  Desemba (1)
    • ▼  Novemba (18)
      • WATAKATIFU WA BWANA WAKIWA KATIKA MAOMBI MAZITO MA...
      • KIJANA WA YESU AKIWA AMENYENYEKEA KWA UNYENYEKEVU ...
      • MTUMISHI WA MUNGU MAMA MCHUNGAJI MWOSI AKIFANYA MA...
      • MAMA MCHUNGAJI MOSI AKIFUNDISHA NA KUHUBIRI MANENO...
      • KIKUNDI CHA KUSIFU NA KUABUDU KIKIMTUKUZA NA KUMWI...
      • KIKUNDI CHA KUSIFU NA KUABUDU KIKIMSIFU NA KUMWABU...
      • PICHANI NI KATIBU WA VIJANA BW. SHEDRACK AKIWA NA ...
      • WATUMISHI MBALI MBALI WAKIWA WANAFANYA MAOMBI KWA ...
      • MCHUNGAJI MSAIDIZI, ZEPHANIA MKUYU AKIFUNDISHA NEN...
      • VIJANA WA CA,S WAKIWA WANAMUIMBIA BWANA KATIKA SIK...
      • MTUMISHI WA BWANA NA KATIBU MKUU WA CA,S TANZANIA...
      • WATUMISHI WA MUNGU WAKIWA KATIKA UWEPO WA BWANA. ...
      • MTUMISHI WA MUNGU KATIBU WA CA,S TANZANIA AKIFANYA...
      • MCHUNGAJI KIONGOZI SAMSON MKUYU AKIFANYA MAOMBI KW...
      • MWENYE KITI WA VIJANA KANISANI AKIFANYA MAOMBI KWA...
      • MCHUNGAJI MKUYU AKIFANYA MAOMBI KWA WALIO NA SHID...
      • KIKUNDI CHA KUSIFU NA KUABUDU KIKIWA TAYARI KUELEK...
      • MTUMISHI EMMANUEL ULOMI AKIHUBIRI NENO LA MUNGU KA...
    • ►  Oktoba (29)
    • ►  Septemba (1)
    • ►  Agosti (1)
    • ►  Julai (17)
    • ►  Juni (33)
    • ►  Mei (43)
  • ►  2014 (28)
    • ►  Novemba (10)
    • ►  Septemba (18)
Inaendeshwa na Blogger.

MCHUNGAJI KIONGOZI.

MCHUNGAJI KIONGOZI.
ASKOFU. MKUYU

Search My Blogg

Pages

  • Nyumbani

Blog Archive

Labels

  • KIJANA MTUMISHI WA MUNGU AKIMSHUKURU MUNGU MADHABAHUNI PAKE.
  • MAOMBI MAALUMU KUTOKA KWA MCHUNGAJI ASKOFU MKUYU
  • MTUMISHI WA MUNGU MZEE WA KANISA LA VIJANA ATANGAZA UCHUMBA LEO.

Categories

  • KIJANA MTUMISHI WA MUNGU AKIMSHUKURU MUNGU MADHABAHUNI PAKE.
  • MAOMBI MAALUMU KUTOKA KWA MCHUNGAJI ASKOFU MKUYU
  • MTUMISHI WA MUNGU MZEE WA KANISA LA VIJANA ATANGAZA UCHUMBA LEO.

 
  • Blogger news

  • Blogroll

  • About

Copyright © T.A.G CAPITAL CHRISTIAN CENTRE CHURCH ( MIYUJI DODOMA ) | Powered by Blogger
Design by FThemes | Blogger Template by Top Blogger Templates
Free magazine themes