Mtumishi Kijana Wa yesu Akiaga Kanisa Juma pili hii Ya Tar. 14.9.2014 Kuelekea Singida Kwa Ajili Ya Kazi Ya Bwana Katika Kitengo Cha Jinsia Na Watoto Akichaguliwa Kuwa Kama Mkurugenzi wa Kitengo Hicho.Tunamuombea Mungu Amtangulie Kijana Wetu Nyorobi.AMEEN...( 2 WAKORINTHO 4;1)
Jumanne, 16 Septemba 2014
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni