Jumatatu, 1 Septemba 2014

ASKOFU MCHUNGAJI MKUYU KUSHOTO AKIWA NA MOJA KATI YA WACHUNGAJI WALIOKUWA KATIKA KIKUNDI CHA MAOMBI CHA EAST AFRICA.





Askofu Mchungaji Mkuyu Kushoto Hakiwa Na Moja Kati Ya Wachungaji wa katika kikundi Cha Maombi Cha Easst African Prayer Group, wakiwa Katika maombi Makali Sana Ya Kuwaombea  Waumini Wote wa Kanisa La Capital Christian Center, Wajazwe Roho Ya Mzigo Wa Maombi Ndani Yao, Pia vile vile Wakimuomba Mungu Afanyikishe Na Kusimamia Ujenzi Wa Mlima Wa Maombi Uliopo Kanisani hapo.   ( Wafilipi 4:7) Wafilipi 4;13-14) Tunayaweza Mambo Yote Katika Yeye Atutiaye Nguvu

0 maoni:

Chapisha Maoni