Jumatano, 3 Septemba 2014

KIKUNDI CHA UIMBAJI CHA ASEKI BUSINESS KIKIWASHA MOTO KATIKA TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU.


 Kikundi Cha Uimbaji Cha  Chuo Cha ASEKI BUSINESS Kikimuimbia Bwana Na Kuwasha Moto Wa Roho Mtakatifu Katika Tamasha La Kusifu Na Kuabudu. Hakika Bwana Yesu Alionekana Siku hiyo Ya Tamasha La Kusifu Kuabudu Na Upako Mwingi Ulishuka Kutoka Mbinguni. Zaburi 135;1-3

0 maoni:

Chapisha Maoni