Kikundi Cha Kusifu Na Kuabudu Cha Capital Christian Center Kikiwasha Moto Wa Roho Mtakatifu Katika Kuongoza Tamasha La Kusifu Na Kuabudu Katika Kanisa La Capital Christian Center Dodoma,Hakika Bwana Yesu Alionekana Katika Tamasha Hilo Katika Uimbaji. UTUKUFU NA SIFA APEWE BWANA. ( Zaburi 95;1-3) Njoni Tumwimbie BWANA, Tumfanyie Shangwe Mwamba Wa Wokovu Wetu.
0 maoni:
Chapisha Maoni