This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Jumamosi, 22 Novemba 2014

MTUMISHI WA MUNGU MAMA MOSI AKIFANYA MAOMBI MAALUMU KWA AJILI KIKUNDI CHA KUSIFU NA KUABUDU .


Mtumishi Wa Mungu Mama Mosi Akifanya Maombi Maalumu Ya kuwabariki Na Kuwafunika Kwa Damu Ya Yesu Kristo kikundi Cha Kusifu Na Kuabudu Katika Ibada Ya Nne. Hakika Yesu Alionekana Katika Ibada Hiyoo.

KIKUNDI CHA KUSIFU NA KUABUDU KUTOKA CAPITAL CHRISTIAN CENTER KKIMUABUDU BWANA.




Kikundi Cha Kusifu Na Kuabudu kikimuabudu Bwana Yesu Katika Ibada Takatifu Ibada Ya Nne. Hakika Watu wa Mungu Walibarikiwa na Kufunguliwa Katika Ibada Hiyo.

Jumapili, 9 Novemba 2014

KIJANA MTUMISHI WA MUNGU MUNGU MESHACK AKISALIMIA KANISA BAADA YA KUTOKA MASOMONI MBEYA

Mtumishi Wa Mungu Meshack Akisalimia Kanisa Baada Ya Kutoka Masomoni Mkoani Mbeya, Mtumishi Huiyu Ambaye  Pia Ni Mwalimu Wa Watoto Kanisani Hapo  Na Sehemu Mbali Mbali Nchini, Hakika Mungu Kampa Kipaji Cha Kufundisha Watoto.

MTUMISHI WA MUNGU MAMA MOSI AKISALIMIA KATIKA BAADA YA KURUDI KUTOKA SAFARI YA SINGIDA KWENYE MKUTANO.

Mtumishi Wa Bwana Yesu Mama Mosi Akilisalimia kanisa Baada Kurudi Kutoka Singida Katika Mkutano Wa Injili Uliofanyika Pale Singida,. Hakika Bwana Alionekana Katika Mkutano Ule , Maana Watu 100  Wameokoka Na Wamempokea Kristo Yesu. Kuwa Mwokozi Wa Maisha Yao

ASKOFU MKUYU AKIHUBIRI NENO LA MUNGU

Askofu Mkuyu Ambaye Ni kiongozi Wa Kanisa La Capital Christian Center, Akihubiri  Neno La Mungu Somo Kuhusu  ( KUKUA KWA KANISA LENYE NGUVU IMARA..) Maandiko. Matendo 1;8,,, , Mathayo  16;18,,, Yeremiah 17;5.       Hakika Bwana Yesu Alionekana Katika Ibada Hiyo.

Jumatatu, 3 Novemba 2014

MWINJILISTI DEUSI AKIFANYA MAOMBI KWA BINTI ALIEAMUA KUMPA YESU MAISHA YAKE SIKU HIYO YA JUMA PILI YA TAREHE 2.11.2014 KATIKA IBADA YA NNE.





Mtumishi deusi akifanya maombi pamoja na watumishi wengine maombi ya kumuombea na kumfunika kwa damu Ya Yesu binti alieamua kumpa Yesu maisha yake juma pili hii katika ibada ya nne. Hakika Bwana Yesu alionekana siku iyo.

Jumapili, 2 Novemba 2014

MWINJILISTI DEUSI AKIHUBIRI KATIKA IBADA YA NNE.C.C.C MIYUJI.

Mtumishi Mwinjilisti Deusi Akihubiri KATIKA ibada ya nne katika kanisa la capital christian cennter.

MCHUNGAJI KIONGOZI ASKOFU MKUYU PAMOJA NA WAZEEE WA KANISA WAKIFANYA MAOMBI KWA WATU WA KANISA HILO.






Timu ya wazee wa Kanisa Pamoja Na  Mchungaji kiongozi wakifanya maombi kwa waumini wote wa Kanisa La C.C.C Miyuji na wenye shida mbali mbali. Juma Pili Ya Tarehe 2.11.2014

MCHUNGAJI KIONGOZI ASKOFU MKUYU AKIFANYA MAOMBI KWA KANISA LA CAPITAL CHRISTIAN CENTER MIYUJI.



Mchungaji kiongozi Wa Kanisa La Capital Christian Center Miyuji Askofu Mkuyu Akifanya maombi  Ya Kuombea Watu Wote Katika Katika Kanisa La C.C.C Miyuji Pia aliwaombea pia maombi ya Baraka Na Uponyaji Kwa wale Ambao Wanaumwa Na kuwa na matatizo mbali mbali. Yohana 15.5

ASKOFU MKUYU AKIHUBIRI NA KUFUNDISHA NENO LA MUNGU .



Askofu Mkuyu Akifundisha Neno la Mungu Katika Ibada Iliyo Fanyika Juma Pili Ya Jana. Tarehe 2. 11.2014 Katika Kanisa La C.C.C Miyuji.   ( zaburi 25.5 )

Jumanne, 16 Septemba 2014

MTUMISHI WA MUNGU KIJANA BARNABAS NYOROBI AKIFANYIWA MAOMBI YA SAFARI YAKE YA KWENDA SINGIDA .


KIJANA MTUMISHI WA MUNGU NYOROBI AKIFANYIWA MAOMBI YA SAFARI YAKE YA KWENDA SINGIDA KIKAZI KWA AJILI YA KAZI YA MUNGU. PIA MUNGU NI MWEMA  MAANA KAMPANDISHA CHEO. KIJANA WETU HUYU.  ( 2 WAKORINTHO 4;1)

MTUMISHI KIJANA WA BWANA BARNABAS NYOROBI AKIAGA KANISA.

Mtumishi Kijana Wa yesu Akiaga Kanisa Juma pili hii  Ya Tar. 14.9.2014 Kuelekea Singida Kwa Ajili Ya Kazi Ya Bwana Katika Kitengo Cha Jinsia Na Watoto Akichaguliwa Kuwa Kama Mkurugenzi wa Kitengo Hicho.Tunamuombea Mungu Amtangulie Kijana Wetu Nyorobi.AMEEN...( 2 WAKORINTHO 4;1)

MCHUNGAJI KIONGOZI WA KIKUNDI CHA USHUHUDIAJI AKIFANYA MAOMBI KWA KANISA LA C.C.C.

Mchungaji  kiongozi Wa Kikundi Cha Ushuhudiaji Kutoka Singida Akifanya Maombi Kwa Kanisa La C.C.C Dododma Miyuji.

ASKOFU MCHUNGAJI MKUYU AKIPANDA MADHABAHUNI .





Askofu Mkuyu Akipanda Madhabahuni Baada Ya Maombezi Kutoka Kwenye Kikundi Cha Ushuhudiaji Kutoka Singida.( 2 WAKORINTHO 3;4)

MCHUNGAJI KIONGOZI WA KANISA LA CAPITAL CHRISTIAN CENTER ASKOFU MKUYU.

MCHUNGAJI KIONGOZI WA KANISA LA CAPITAL CHRISTIAN CENTER , ASKOFU MCHUNGAJI MKUYU, AKIFANYA MAOMBI NA KUWABARIKI WATUMISHI WA MUNGU WALIOKUJA KWA AJILI YA USHUHUDIAJI KUTOKA SINGIDA PIA MUNGU MWEMA MAANA WALIKUJA NA KILO 50 ZA MCHELE NA LITA 20 ZA MAFUTA YA KULA. HAKIKA MUNGU ALIONEKANA..(.2 WAKORINTHO 4;15-16)

KIKUNDI CHA USHUHUDIAJI NA MAOMBEZI KUTOKA SINGIDA.






Hii Ndio Timu KubwaYa Bwana Yesu Ya Kuvunja Na Kuharibu Nguvu Za Giza Kwa Watumishi Na Wanadamu Wote Wanaoteswa Na Nguvu Za Shetani. (WAEFESO 6;11-16)

KWAYA KUTOKA SINGIDA IKIIMBA JUMA PILI HII KATIKA KANISA LA CAPITAL CHRISTIAN CENTER.


Kikundi Cha Kwaya Kutoka Singida Kikiimba Madhabahuni Mwa Bwana Na Kikiwasha Moto Wa Roho Mtakatifu MMadhabahuni Mwa Bwana.

KIKUNDI CHA USHUHUDIAJI NA MAOMBEZI KUTOKA SINGIDA.





Kikundi Cha Ushuhudiaji Na Maombezi Kutoka Singida Kikifanya Maombi Kwa Kanisa La Capital Christian Center Juma Pili Hii TAR.14.9.2014 Miyuji Kuhusiana Na Roho Ya Ushuhudiaji Kwa Kanisa Kwa Watu wengine.( 1 WAKORINTHO 14;1-5)

KIKUNDI CHA KWAYA YA CCC KIKIWASHA MOTO JUMA PILI HII.



Kikundi Cha Kwaya Ya CCC Miyuji Kikiwasha Moto Katika Kumuimbia bwana Madhabauni Pake. Hakika Mungu Ni mwema Sana.

Jumatano, 3 Septemba 2014

WANA C.C.C WAKIMUIMBIA BWANA.

Watumishi Wa Mungu Wakimuimbia Bwana Yesu Katika Tamasha Kubwa La Kusifu Na Kuabudu Pale capital Christian Center Miyuji.

MCHUNGAJI RAPHAEL AKIHUBIRI KATIKA TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU.



 Mchungaji Raphael Mcungaji Wa vijana  akihubiri  Neno La Mungu Siku ya Tamasha La Kusifu Na Kuabudu., Hakika Watu Walifunguliwa Siku Hiyo Katika Tamasha La Kusifu Na Kuabudu Na kuponywa Siku Hiyo.   (Mithali 12;1). Kila Apendaye Mafundisho Hupenda Maarifa.