1.Mchungaji wa Zamu Wa Wiki Ijayo Ni : Raphael Lyela.
2.Juma pili Ya Mwisho Wa Mwezi huu Kutakuwa na Tamasha la Kusifu Na Kuabudu.
.... Wale wote ambao wanaitaji kuimba katika Tamasha Hilo inabidi walete taarifa zao mapema ili wawekwe kwenye Ratiba.
3. Tunapenda kuwa tangazia watu wote kwamba fomu za kujiunga na shule yetu ya chekechea kwa mwaka 2016 iliyoko hapa kanisani capital christian centre,
Fomu zinapatikana kwa mwalimu mkuu mwalimu Loveness hapo hapo kanisani katika jengo la MAVUNO HOUSE.
4. Wajumbe wote wa Tazama na Tunza mnaombwa kesho kuonana saa nne kamili asubuhi kanisani katika ofisi
ya Tazama na Tunza iliyoko hapo kanisani MAVUNO HOUSE.
5.Ijumaa kutakuwa na mkesha kuanzia saa mbili (2) kamili asubuhi mpaka saa sita (6) usiku
Wote Mnakaribishwa sana bila kukosa.
Timu ya wazee wa Kanisa Pamoja Na Mchungaji kiongozi wakifanya maombi kwa waumini wote wa Kanisa La C.C.C Miyuji na wenye shida mbali mbali. Juma Pili Ya Tarehe 2.11.2014
0 maoni:
Chapisha Maoni