Mtumishi Wa Bwana Yesu Mama Mosi Akilisalimia kanisa Baada Kurudi Kutoka Singida Katika Mkutano Wa Injili Uliofanyika Pale Singida,. Hakika Bwana Alionekana Katika Mkutano Ule , Maana Watu 100 Wameokoka Na Wamempokea Kristo Yesu. Kuwa Mwokozi Wa Maisha Yao
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni