This is default featured slide 1 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
This is default featured slide 2 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
This is default featured slide 3 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
This is default featured slide 4 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
This is default featured slide 5 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
Jumanne, 17 Novemba 2015
Jumatatu, 16 Novemba 2015
KIJANA WA YESU AKIWA AMENYENYEKEA KWA UNYENYEKEVU MKUBWA MBELE YA MADHABAHU YA BWANA. 15.NOVEMBER.2015
10:16
No comments
Kijana wa kanisa la Capital christian centre akiw akiwa katika maombi mazito huku akinyenyekea kwa unyenyekesha mkubwa sana mbele ya madhabahu ya Bwana , wakati watutumishi wa Mungu wakifanya maombi maalumu kwa watumishi wote wa kanisani hapo.
MTUMISHI WA MUNGU MAMA MCHUNGAJI MWOSI AKIFANYA MAOMBI MAALUMU KWA WAUMINI WOTE WA KANISA ZIMA KABLA YA NENO LA MUNGU . 15.NOVEMBER.2015
09:56
No comments
Mtumishii wa Mungu mama mchungaji mwosi akifanya maombi maalumu kwa kanisa zima kabla ya kuanza kufundisha neno la Mungu .
MAMA MCHUNGAJI MOSI AKIFUNDISHA NA KUHUBIRI MANENO YA BWANA MADHABAHUNII PAKE. 15.NOVEMBER.2015
09:44
No comments
Mama mchungaji mosi akifundisha na kuhubiri neno la Bwana madhabahuni pake,,
Kichwa cha somo ni: Aina za utoaji na kanuni za utoaji.
Maandiko: Warumi 12:1-2
Mwanzo 2:4-8
2 wafalme 4:9-13
Kutoka 35:20
36:3-7
Kutoka 22:29
malaki 3:7
Kuna siri kubwa sana katika utoaji wa sadaka kwa Mungu, pia kuna baraka nyingi sana ambazo zinatokana na utoaji wa sadaka kwa Mungu, mtumishi wa Mungu jitahidi sana kutoa sadaka maana ndio baraka zako ambako zipo katika kutoa kwa Bwana.
Kichwa cha somo ni: Aina za utoaji na kanuni za utoaji.
Maandiko: Warumi 12:1-2
Mwanzo 2:4-8
2 wafalme 4:9-13
Kutoka 35:20
36:3-7
Kutoka 22:29
malaki 3:7
Kuna siri kubwa sana katika utoaji wa sadaka kwa Mungu, pia kuna baraka nyingi sana ambazo zinatokana na utoaji wa sadaka kwa Mungu, mtumishi wa Mungu jitahidi sana kutoa sadaka maana ndio baraka zako ambako zipo katika kutoa kwa Bwana.
Jumapili, 15 Novemba 2015
KIKUNDI CHA KUSIFU NA KUABUDU KIKIMTUKUZA NA KUMWIMBIA BWANA MADHABAHUNI PAKE. 15. NOVEMBER.2015
10:09
No comments
Kikundi cha kusifu na kuabudu kikimtukuza na kumuimbia Bwana madhabahuni pake patakatifu katika ibada ya vijana ambayo ni ibada ya tatu.
PICHANI NI KATIBU WA VIJANA BW. SHEDRACK AKIWA NA MWENZAKE WAKICHEZA IGIZO LA MANABII WA UONGO KATIKA SIKUKUU YA VIJANA. 1. NOVEMBER . 2015
09:52
No comments
Pichani ni igizo ambalo linahusu manabii wa uongo katika siku hizi za mwisho, igizo hilo ambalo lilichezwa na vijana wa hapo hapo kanisani katika sikuu yao ya vijana.
MCHUNGAJI MSAIDIZI, ZEPHANIA MKUYU AKIFUNDISHA NENO LA MUNGU KATIKA IBADA YA VIJANA KATIKA SIKUKUU YA VIJANA. 1.NOVEMBER.2015
07:13
No comments
Mchungaji msaidizi akiwa madhabahuni mwa Bwana akifundisha neno la Bwana katika ibada ya tatu ya vijana.
Jumamosi, 14 Novemba 2015
VIJANA WA CA,S WAKIWA WANAMUIMBIA BWANA KATIKA SIKUKUU YAO YA VIJANA. 1.NOVEMBER.2015
13:23
No comments
Vijana wa Ca,s wakimuimbia Bwana mahabahuni pake wakiwa wamejaa mioyo ya furaha sana kusheherekea sikukuu yao ya vijana.
WATUMISHI WA MUNGU WAKIWA KATIKA UWEPO WA BWANA. 1.NOVEMBER.2015
11:18
No comments
Watumishi wa Mungu wakiwa katika uwepo wa Bwana pindi Mchungaji kiongozi , mchungaji samson mkuyu pamoja nan katibu wa Ca,s Tanzania wakifanya maombi maalumu kwa ajili ya watumishi hawa.
MTUMISHI WA MUNGU KATIBU WA CA,S TANZANIA AKIFANYA MAOMBI MAALUMU KWA AJILI YA KANISA . 1.NOVEMBER.2015
10:23
No comments
Mtumishi wa Mungu na Katibu wa Ca,s Tanzania akifanya maombi maalumu kwa ajili yan kanisa zima kwa ujumla pamoja na vijana wote wa kanisani katika siku hiyo ya sikukuu ya vijana.
MWENYE KITI WA VIJANA KANISANI AKIFANYA MAOMBI KWA WAHITAJI WA MAMBO MBALI MBALI. 1.NOVEMBER.2015
09:28
No comments
Mwenye kiti wa vijana akifanya maombi kwa wahitaji wa mambo mbali mbali madhabahuni mwa Bwana. Katika sikukuu ya vijana
MCHUNGAJI MKUYU AKIFANYA MAOMBI KWA WALIO NA SHIDA MBALI MBALI KATIKA SIKUKUU YA VIJANA. 1. NOVEMBER.2015
05:51
No comments
Mchungaji kiongongozi mchungaji mkuyu akifanya maombi maalumu kwa ajili ya watu wenye shida mbali mbali katika ibada ya sikukuu ya vijana.
KIKUNDI CHA KUSIFU NA KUABUDU KIKIWA TAYARI KUELEKEA MADHABAHUNI MWA BWANA KWA AJILI YA KUMUIMBIA BWANA. 1. NOVEMBER.2015
05:38
No comments
Kikundi cha kusifu na kuabudu kikiwa Tayari kabisa kwa ajili ya kumuimbia Bwana katika sikukuu Ya vijana iliyo fanyika katika kanisa la Capital christian Centre. miyuji. Dodoma
MTUMISHI EMMANUEL ULOMI AKIHUBIRI NENO LA MUNGU KATIKA IBADA YA PILI. 1.NOVEMBER.2015
05:28
No comments
Mtumishi wa Mungu na mpakwa mafuta wa Bwana akifundisha neno la Mungu katika ibada ya pili ambayo siku iyo ilikuwa ni sikukuu ya vijana.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)