Jumanne, 21 Julai 2015

WATUMISHI WA MUNGU WAKIWA KATIKA UWEPO WA BWANA WAKISIKILIZA NENO LA MUNGU KUTOKA KWA ASKOFU MICHEL KUTOKA BUKINAFASSO. JUMA PILI. TAREHE. 19.7.2015





Watumishi wa Mungu na waumini wa CCC, Pamoja na wageni wetu waliotembelea kanisa hilo kutoka Dar es Salaam, kundi la kusifu na kuabudu kutoka kwa mchungaji Huruma Nkone. The Rivers Of Joy International Dar es salaam, wakiwa katika ibada hiyo.

0 maoni:

Chapisha Maoni