Kundi la kusifu na kuabudu la The Rivers Of Joy International Dar es salaam likiwa limeamua kuja kutembelea na kufanya huduma ya uimbaji pamoja na watumishi wote wa capital christian centre., pia pichani ni walikuwa katika uwepo wa kusikiliza neno la Mungu michel kutoka Bukinafasso (.Zaburi 34;1-3)
0 maoni:
Chapisha Maoni