This is default featured slide 1 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
This is default featured slide 2 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
This is default featured slide 3 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
This is default featured slide 4 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
This is default featured slide 5 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
Jumanne, 21 Julai 2015
ASKOFU MCHUNGAJI MKUYU PAMOJA NA WASHIRIKA NA WATUMISHI WOTE WA MUNGU PAMOJA WAKIMSHUKURU KWA AJILI YA MTUMISHI WAKE KUTOKA BUKINAFASSO , MTUMISHI MICHEL,PIA PAMOJA NA UJUMBE WAKE KUTOKA KWA MUNGU. .. JUMA PILI TAREHE. 19.7.2015
04:07
No comments
Watumishi wa Mungu wakiwa katika maombi ya kumshukuru Mungu kwa ajili ya kumleta mtumishi wake kutoka bukinafasso. na kutupa Neno zuri la Mungu ambalo lilifungua sana watumishi wa Mungu pamoja kutuweka katika hatua nyingine Kiroho.
KUNDI LA KUSIFU NA KUABUDU LA THE RIVERS OF JOY, WAKSIKILIZA MAHUBIRI KUTOKA KWA ASKOFU MICHEL KUTOKA BUKINAFASSO, KATIKA IBADA YA TATU. JUMA PILI TAREHE 19.7.2015
02:02
No comments
Kundi la kusifu na kuabudu la The Rivers Of Joy International Dar es salaam likiwa limeamua kuja kutembelea na kufanya huduma ya uimbaji pamoja na watumishi wote wa capital christian centre., pia pichani ni walikuwa katika uwepo wa kusikiliza neno la Mungu michel kutoka Bukinafasso (.Zaburi 34;1-3)
WATUMISHI WA MUNGU WAKIWA KATIKA UWEPO WA BWANA WAKISIKILIZA NENO LA MUNGU KUTOKA KWA ASKOFU MICHEL KUTOKA BUKINAFASSO. JUMA PILI. TAREHE. 19.7.2015
01:31
No comments
Watumishi wa Mungu na waumini wa CCC, Pamoja na wageni wetu waliotembelea kanisa hilo kutoka Dar es Salaam, kundi la kusifu na kuabudu kutoka kwa mchungaji Huruma Nkone. The Rivers Of Joy International Dar es salaam, wakiwa katika ibada hiyo.
Jumapili, 19 Julai 2015
ASKOFU MICHEL KUTOKA BUKINAFASSO AKILISALIMIA KANISA NA WAUMINI WOTE WA KANISA LA CAPITAL CHRISTIAN CENTRE.
04:44
No comments
Askofu kutoka katika Nchi ya Bukinafasso akilisalimia kanisa na waumini wote wa Capital christian centre katika ibada ya Tatu.
KIKUNDI CHA KUSIFU NA KUABUDU THE RIVERS OF JOY INTERNATIONAL DAR ES SALAAM, KIKIMUABUDU BWANA KATIKA KANISA LA CAPITAL CHRISTIAN CENTRE. MIYUJI DODOMA.
04:37
No comments
Kikundi cha kusifu na kuabudu cha The Rivers Of Joy kikimuabudu Bwana katika kanisa la capital christian centre, katika ibada ya tatu.
MCHUNGAJI KIONGOZI ASKOFU MKUYU AKIWA KATIKA UWEPO WA KUMUABUDU BWANA PAMOJA NA MGENI WAKE ASKOFU MICHEL KUTOKA BUKINAFASSO.
04:22
No comments
Mchungaji kiongozi askofu mkuyu akiwa katika uwepo wa Bwana wakati kikundi kutoka Dar es salaam cha The Rivers Of Joy International Dar es salaam, kikimuabudu Bwana madhabahuni pake.
UGENI WA KIKUNDI CHA KUSIFU KUABUDU CHA THE RIVERS OF JOY INTERNATIONAL DAR ES SALAAM KIKIMUIMBIA BWANA KATIKA KANISA LA CAPITAL CHRISTIAN CENTRE.
04:07
No comments
Kikundi cha kusifu na kuabudu cha The Rivers Of Joy Internation Dar es salaam, kikitembelea kanaisa la CCC Na kikimuimbia Bwana katika ibada ya 3. hakika Bwana alionekana katika uimbaji wao. Jina la Bwana Lihimidiwe.
Jumanne, 7 Julai 2015
Jumatatu, 6 Julai 2015
MCHUNGAJI ZEPHANIA MKUYU AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MTUMISHI WA MUNGU ALIE TATIZWA SIKU HIYO. JUMA PILI YA TAREHE. 5.6.2015
08:22
No comments
Mchungaji zephania mkuyu akiwa katika picha ya pamoja na mtumishi nwa mungua alie batizwa siku hiyo mbaa tu ya kubatizwa.
MCHUNGAJI ZEPHANIA MKUYU AKIWA NA ANAMUHOJI MASWALI MAWILI MATATU KONDOO ANAETAKA KUBATIZWA , KABLA AJABATIZWA. (JUMA PILI YA TAREHE . 5.7.2015)
08:17
No comments
Mchungaji zephania mkuyu akiwa anahojiana kidogo mawali mawili matatu kabla ajambatiza kondoo wa Bwana kwa maji mengi kama atakuwa yuko tayari kubatizwa kwa maji mengi.
MCHUNGAJI ZEPHANIA MCHUYU AKIFANYA MAOIMBI KATIKA KISIMA CHA UBATIZO BAADA TU YA KUSOMA NENO LA MUNGU LINALOHUSU UBATIZO WA MAJI MENGI. (JUMA PILI YA TAREHE 5.7.2015)
08:08
No comments
Mchungaji zephania mkuyu akifanya maombi baada ya kusoma Neno la Mungu katika kisima cha ubatizo, Neno ambalo lilikuwa linahusu Ubatizo wa maji Mengi.
MCHUNGAJI ZEPHANIA MKUYU AKIWA KATIKA UWEPO WA BWANA WAKATI WA MAOMBI YALIOKUWA YAKIFANYWA KWA AJILII YA KUFUNGUA IBADA YA UBATIZO. (JUMA PILI YA TAREHE. 5.7.2015)
08:00
No comments
Mchungaji msaididizi , Mchungaji Zephania Mkuyu Akiwa katika uwepo wa Mungu wakati wa maombi ya kufungua ibada ya ubatizo wa Kondoo Wa Bwana Yesu.
MCHUNGAJI MSAIDIZI ZEPHANIA MKUYU AKIWA ANASOMA NENO LA MUNGU KABLA YA UBATIZO. (JUMA PILI YA TAREHE. 5.7.2015)
07:54
No comments
Mchungaji msaidizi , Mchungaji zephania Mkuyu akitoa Neno la Mungu kabla ya Watu kuanza kubatizwa siku hiyo katika kisima cha ubatizo.
APEWE SIFA MUNGU WA MAJESHI KWA KUMKUMBUKA MCHUNGAJI WETU KIONGOZI SAMSONI MKUYU KWA KUMPA GARI NZURI SANA AINA YA NISSAN PATROL . UTUKUFU APEWE BWANA YESU.(JUMA PILI YA TAREHE.5.7.2015)
07:45
No comments
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)