This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Jumapili, 20 Desemba 2015

MCHUNGAJI WA VIJANA RAPHAEL LYELA AKIHUBIRI KATIKA IBADA YA VIJANA KATIKA IBADA YA TATU. 20.DECEMBER.2015

Mchungaji wa Vijana Mchungaji Raphael lyela Akihubiri katika ibada ya tatu ambayo ibada iyo ni ibada ya vijana,,,Mhubiri alihubiri Neno la Mungu kuhusiana na utoaji wa sadaka katika madhabahu ya BwanaSOMO: UTUKUFU WA  KUISHI KATIKA MAISHA YA UTOAJI.ANDIKO:  MWANZO 4:1-7                MWANZO 22:1KATIKA MAISHA YA MWANADAMU KUNA FAIDA KUBWA SANA KATIKA SWALA LA KUMTOLEA MUNGU, NA UKUITAKA KUFANIKIWA...